Aliyekuwa afisa habari wa Simba Sc Haji Manara ametambulishwa rasmi kwenye timu ya Yanga akiwa mmoja ya safu ya uongozi wa timu hiyo.
Manara ambaye alisimamishwa kazi na waajiriwake wa zamani simba siku za hivi karibuni ametambulishwa Yanga kwenye mkutano ulioandaliwa na timu hiyo jijini Dar es salaam.
Bado haijawekwa wazi Manara atakuwa na cheo gani ndani ya Yanga mpaka itakapo tangazwa rasmi.
Pia yanga wametangaza kuwa kesho itakuwa na jambo kubwa sana la kutambulisha jezi yao mpya
No comments:
Post a Comment