KAMPUNI ya simu za mkononi Infinix kupitia ukurasa wake wa Instagram @infinixmobiletz yatangaza ofa kabambe kwa wateja kumi wa kwanza kununua Infinix NOTE 10 siku ya jumamosi (17/7/2021) kupata punguzo la sh. 40,000 na zawadi ya blenda, jagi la kuchemshia maji, wireless earphone au music system papo hapo katika duka la Infinix Smart Hub China plaza Kariakoo.
Infinix NOTE 10 Big Mnyama ilianza rasmi 13/7/2021 na itaendelea hadi 26/7/2021 ambapo kwa wiki mara moja Infinix itakuwa ikitoa punguzo la sh. 40,000 kwa simu ya Infinix NOTE 10 na NOTE 10pro.
Infinix NOTE 10 ni toleo jipya kutoka kampuni ya simu Infinix sifa kuu ya simu hii ipo upande wa processor ya MediaTek Helio G95 ambayo inaifanya simu hii kuwa nyepesi na yenye kuendesha application za simu hiyo kwa haraka na wepesi zaidi pasipo kupata moto.
Infinix NOTE 10 inaaminika kuwa simu sahihi kwa watu wa rika lote wenye matumizi mengi ya simu kutokana na uwezo wa kuhifadhi na kuja kwa chaji haraka kupitia teknolojia ya fast chaji yenye 33Wh ambayo shahabiana vizuri na mAh 5000 za battery la NOTE 10 lakini pia Infinix NOTE 10 ni simu ya kipekee kupitia teknolojia ya Noise Cancellation inaondoa kelele za pembeni na kuendelea kusikilizana.
Tembelea maduka ya Infinix upate na punguzo na zawadi nyengine nyingi papo hapo au piga namba 0744606222 kwa ununuzi wa haraka.
No comments:
Post a Comment