A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, May 1, 2019

Ziara ya MO Dewji ndani ya FC Porto kuineemesha Simba SC



Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simba SC, Mohammed Dewji ameitembelea klabu ya FC Porto ya nchini Ureno.

Ziara yake hiyo imelenga kujenga ushirikiano wa kukuza vipaji kati ya klabu hiyo na Simba SC kwa siku za mbeleni.

"Nilipata nafasi nzuri ya kujifunza nilipoitembelea FC Porto ambapo niliweza kujua fursa za ushirikiano kwa kituo cha kukuzia vipaji cha Simba huko mbeleni," ameeleza.

Ameendelea kwa kusema, 'Tuna mengi ya kujifunza na kupata kutokana na uzoefu wa Porto FC. Natarajia kuimarisha mazungumzo yetu hivi karibuni'.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages