A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, May 16, 2019

BREAKING: Rais Magufuli awatumbua Wakurugenzi wawili


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe, Adelius Kazimbaya na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, Hadija Makuwani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages