A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, April 25, 2019

TIMU YA SIMBA YAICHAKAZA KMC 2-1

Mchezo wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kati ya KMC na Simba  SC umemalizika uwanja wa CCM Kirumba kwa Simba kushinda 2-1.

Wafungaji wa leo kwa upande wa Simba Emmanuel Okwi na John Bocco, huku kwa upande wa KMC ni Hassan Kabunda.

Katika mchezo huo Simba wamepata penalti baada ya Okwi kucheza madhambi, ikapigwa na Kagere ambaye ameikosabaada ya kushtua na kudakwa na mlinda mlango Jonathan Nahimana.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages