Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Gondwin Gondwe ametaka mikutano mikuu ya Serikali za Vijiji kufanyika siku moja Wilaya nzima kila Ijumaa ya wiki ya kwanza.
Aidha ametishia kuwafikisha kwenye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) viongozi wote wasiofuata miongozo, kanuni na taratibu za fedha ili kulinda uwajibikaji na matumizi mabaya ya mali za umma.
Gondwe aliyasema hayo wakati wa mkutano wa wadau wa elimu wilayani hapa ambao uliandaliwa na asasi isiyo ya kiserikali ya Tree of Hope ya nchini na kufanyika mjini Handeni kwa ufadhiliwa na Shirika la Foundation for Civil Society.
Alisema suala la serikali za vijiji kutoitisha mikutano mikuu kwa mujibu wa kalenda limekuwa changamoto kubwa kwa viongozi wengi na kulalamikiwa na wananchi.
Alisema kalenda aliyoitangaza ndiyo itakuwa mwarobaini kwa viongoz
Post Top Ad
Your Ad Spot
Friday, March 22, 2019
Vijiji vyaagizwa kufanya mikutano kila Ijumaa
Tags
KITAIFA#
Share This
About kilole mzee
KITAIFA
Labels:
KITAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment