A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, August 18, 2018

WAITARA ATAMBULISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA KWA TIKETI YA CCM

DSC_0959

1
Mgombea Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara (kushoto) akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuwasili katika kikao cha ndani cha Chama hicho chenye ajenda ya Kumtambulisha Rasmi kuwa ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kilichofanyika jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimehusisha Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka katika kata za Zingiziwa, Buyuni na Chanika ambazo zipo katika Jimbo la Ukonga.
2
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma (kushoto) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara kwa Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Zingiziwa, Buyuni na Chanika ambazo zipo Jimbo la Ukonga wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Chanika jijini Dar es Salaam.
3
Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara akizungumza na  Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Zingiziwa,Buyuni na Chanika ambazo zipo Jimbo la Ukonga wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Chanika jijini Dar es Salaam.
4
Mgombea Udiwani kata ya Zingiziwa kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Husein Togolo akizungumza na  Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Zingiziwa,Buyuni na Chanika ambazo zipo Jimbo la Ukonga wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Chanika jijini Dar es Salaam.
IMG-20180816-WA0012
Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Zingiziwa, Buyuni na Chanika ambazo zipo Jimbo la Ukonga wakisililza kwa makini wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Chanika jijini Dar es Salaam.
5%2B%25282%2529

5%2B%25283%2529

5
Mgombea Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuwasili katika kikao cha ndani kilichofanyika jijini Dar es Salaam kilichohusisha Viongozi hao katika kata za Pugu,Pugu Stesheni na Majohe ambazo zipo katika Jimbo la Ukonga.
6
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ukonga, Yahya Matumbo akizungumza na Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa kikao Utambulisho wa Viongozi waliohudhuria katika kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Pugu jijini Dar es Salaam.
7
Mjumbe wa Kamati ya Siasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Fatuma Lomo akizungumza katika kikao hicho.
8
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Pugu, Bilungo Bilungo akizungumza katika kikao hicho.
9
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma nae alizungumza katika hafla hiyo juu ya kumtambulisha Waitara kuwa Mgombea wa Ubunge jimbo la Ukonga pamoja na kuwaomba Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushirikiana na mgombea huyo katika Kampeni.
10%2B%25282%2529

10
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma (kulia) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara kwa Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Pugu, Pugu Stesheni na Majohe ambazo zipo Jimbo la Ukonga wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Pugu jijini Dar es Salaam.
11
Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara akizungumza na  Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Pugu, Pugu Stesheni na Majohe ambazo zipo Jimbo la Ukonga wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Pugu jijini Dar es Salaam.
DSC_0985
Mgombea Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara (kushoto) akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuwasili katika kikao cha ndani kilichofanyika jijini Dar es Salaam kilichohusisha Viongozi hao katika kata za Ukonga,Gongo la Mboto na Kipunguni ambazo zipo katika Jimbo la Ukonga.
DSC_0988
Mgombea Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara (kushoto) akikata utepe kuashiria kukaribishwa katika kikao cha ndani cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma.
DSC_0993

DSC_0996
Mgombea Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuwasili katika kikao cha ndani kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo kilichohusisha Viongozi hao katika kata za Ukonga, Gongo la Mboto na Kipunguni ambazo zipo katika Jimbo la Ukonga.
DSC_1000
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma (kushoto), Mgombea Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara, Katibu wa Wazazi Wilaya ya Ilala, Sophia Hamady na Mjumbe Kamati ya Siasa Wilaya ya Ilala, Fatuma Lomo wakiimba wakati wa kikao cha ndani cha kumtambulisha mgombea Ubunge jimbo la Ukonga, Mwita Waitara kwa Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam.
DSC_1013
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ukonga, Yahya Matumbo akizungumza na Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akifanya Utambulisho wa Viongozi waliohudhuria katika kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo
DSC_1020
     Katibu wa Wazazi Wilaya ya Ilala, Sophia Hamady akizungumza katika hafla hiyo
DSC_1022
 Mjumbe Kamati ya Siasa Wilaya ya Ilala, Fatuma Lomo akizungumza katika hafla hiyo
DSC_1036
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Kipako akizungumza katika hafla hiyo.
DSC_1037
Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Kipunguni, Ukonga na Gongo la Mboto wakiimba wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo.
DSC_1038
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma nae alizungumza katika
DSC_1056
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma (kushoto) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara kwa Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi,M abaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Kipunguni,Ukonga na Gongo la Mboto  wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo.
DSC_1060
Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara akizungumza na  Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Kipunguni, Ukonga na Gongo wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo.
DSC_1099
        Diwani wa kata ya Kipunguni, Mohamed Msiphe akizungumza katika hafla hiyo.
DSC_1084

DSC_1085
Mgombea Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara akipeana mikono na Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuwasili katika kikao cha ndani kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo kilichohusisha Viongozi hao katika kata za Ukonga, Gongo la Mboto na Kipunguni .
DSC_1112
Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara (mstari wa nyuma watatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kumaliza kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages