A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, August 15, 2018

KARIBUNI KANISA MAOMBI YA USHINDI KATIKA BWANA

 Tunawakaribisha wote kwenye huduma yetu na Mungu atawatemdea mambo makubwa sana haijalishi unashida gani yote kwa Mungu yanawezekana leteni wagonjwa na watu wenye shida mbalimbali MUNGU ANATUTUMIA KWA VIWANGO VIKUBWA SANA KARIBUNI MJIONEE WENYEWE MATENDO MAKUU YA BWANA KATIKA HUDUMA YA YA USHINDI KATIKA BWANA.











 KARIBUNI WOTE KANISANI KWETU MUNGU ANAFANYA MAMBO MAKUBWA KAMA HIVYO UNAVYOONA SOMA.... ISAYA :60-1-10 Inuka uwangaze nuru imekujia huduma yetu ni Nuru wote mnakaribishwa...MAOMBI YA USHINDI KATIKA BWANA




 wenye shida na matatizo mbalimbali karibu kanisani lipo kibangu unyamwezini Dar es Salaam kwa mawasiliano na shida mbalimbali na kufunguliwa mpigie mchungaji Michael mojakwamoja kwa namba 0742303081 MUNGU AKUBARIKI





No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages