A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, June 3, 2018

Watu 15 wauawa katika shambulizi

Watu 15 wameripotiwa kupoteza maisha katika shambulizi la silaha nchini Nigeria.

Kwa mujibu wa habari,mtu huyo ameshambulia watu kwa silaha na kusababisha watu wengine wengi kujeruhiwa katika eneo la Zamfara.

Msemaji wa polisi katika eneo hilo Muhammad Shehu, amesema kuwa watu wengi wamelazimka kuyakimbia makazi yao kutokana na hofu ya maisha yao.

Polisi wameanza kufanya uchunguzi wa aliyehusika na shambulizi hilo.

Eneo la Zamfara limekuwa likikumbwa an mashambulizi ya silaha ya hapa na pale katika siku chache zilizopita.

Hapo awali watu 26 waliripotiwa kupoteza maisha katika shambulizi la silaha nchini humo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages