A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, June 12, 2018

RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA



Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete, akiwa ana swali kabla ya futari iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Mmoja ya Wadau kutoka Tasisi ya K Innovates Nasra Kaseja, akizungumz ajuu ya umuhimu wa kuwasaidia watoto yatima wakati wa futari iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Msherehesjai wakati wa futari hiyo Mtangazaji wa Raidio Masoud Kipanya, akizungumza juu ya utaratibu na umuhimu wa kufutirisha makundi ya watu maalum katika kipindi hichi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete (wanne kushoto mstari wambele) akiwa  kwenye swala na baadhi ya viongozi wengine wa dini hiyo kabla ya futari iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete akijisevia chakula wakati wa futari hiyo.
Wadau wa Tasisi ya Ko Innoavate Pink Ijab wakiwa katika picha ya kabla ya futari hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Mbunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete katikati akiwa na Wadau waliotoa Vifaa kwa ajili ya Watoto Yatima wakati wafutari iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga
Baadi ya wadau waliofika katika futari iliyofanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Ikulu ndogo Msoga

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages