A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, June 7, 2018

Ndalichako aongoza waombolezaji kutoa heshima za mwisho kwa Mapacha Maria na Consolata



Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ameongoza waombolezaji  kutoa heshima za mwisho kwa Mapacha walioungana Maria na Consolata mkoani Iringa amabapo alizungumza na waandishi wa habari na kusema mapacha hao  Maria na Consolata  ni  mashujaa wa Taifa  na kwamba wameliacha taifa katika simanzi nzito.

"Mara ya mwisho niliwaona pale Mwaisela wakiwa wodi ya wagonjwa mahututi, inaniumiza mno lakini mapenzi ya Mungu yatimizwe," amesema.

Amesema wizara hiyo imepoteza watu muhimu waliokuwa wakipigania elimu bila kujali ulemavu na namna walivyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages