MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Magufuli jana alitembelea Ofisi Ndogo za chama hicho Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, kuona shughuli mbalimbali za chama hicho zinavyoendeshwa ikiwa ni pamoja na kutembelea ofisi yake ambapo aliongea na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu Mkuu wa chama hicho Abdulrahman Kinana.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment