Kamishna
Mstaafu wa Polisi Clodwing Mtweve akikagua gwaride lililoandaliwa kwa
heshima yake wakati wa hafla maalum ya kumuaga baada ya kustaafu
utumishi ndani ya Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika katika Viwanja
vya Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na IGP Mstaafu
Omar Mahita wakati hafla maalum ya kuwaaga Makamishna wastaafu wa Jeshi
la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda katika Chuo cha Taaluma ya
Polisi Dar es Salaam.
Makamishna
wastaafu wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda wakiwa
katika picha ya pamoja wakati wa hafla maalum ya kuwaaga rasmi Jeshini
baada ya kustaafu utumishi ndani ya Jeshi la Polisi. Hafla hiyo
ilifanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (Picha na
Jeshi la Polisi).
No comments:
Post a Comment