A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, May 14, 2018

KAULI YA MOBETO KUHUSU NDOA YAKE NA DIAMOND HIVI KARIBUNI


MSANII  wa filamu nchini na ambaye pia ni model, Hamisa Mobeto amefunguka baada ya kuhojiwa kuhusu tetesi za mipango ya ndoa yake na mzazi mwenzake ambaye ni staa wa Afro Pop, Diamond Platinumz na kusema mwenye majibu sahihi kwa sasa ni Diamond.

Hayo ameyasema usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City wakati wa mahojiano na Global TV Online kwenye uzinduzi wa Short Film ya MAMA iliyoandaliwa na msanii Aunt Ezekiel.

Aidha, Mobeto amethibisha kurudiana na Diamond kama ambavyo taarifa zilizkuwa zikisambaa mitandaoni, ambapo pia amesema kurudiana kwao kumetokana na uvumilivu wake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages