A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, May 12, 2018

DRC: Watalii wawili watekwa

Watalii wawili  kutoka Uingereza wameripotiwa kutekwa katika hifadhi ya wnayama ya Virunga nchini DRC.

Taarifa hizo zimetolewa na redio ya Umoja wa Mataifa.

Kwa mujibu wa habari,watalii hao wametekwa Kaskazini mwa Kivu wakati wakirudi katika mji wa Goma.

Msemaji wa hifadhi hiyo ya wanyama Joel Wengamulay amesema kuwa aliekuwa akiwasindikiza watali huyo aliuawa wakati watalii hao walpotekwa.

Bwan Joel amelaani kitendo hicho na kuahidi kuwa uchunguzi zaidi unaendelea.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages