Katika hali ambayao imeelezwa kuwa si ya kawaida ni adimu kwa kizazi hiki kutokea,imewafanya wakazi wa kijiji cha Masanganya Wilayani Kisarawe mkoani Pwani kujawa na furaha na kumshukuru Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala ambaye pia ni Diwani wa kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto baada ya kukabidhi pikipiki kwa kijana Juma Mwalimu aliyenusurika kifo kwa ajali ya pikipiki.
Hali hiyo imejitokeza katika tukio la kukabidhi pikipiki nyumbani kwa kijana huyo lililofanyika katika kijiji cha Masanganya Wilayani Kisarawe , ambapo Naibu meya Kumbila moto ameeleza kuwa ameona huruma kwa kijana huyo ambaye alipata ajali mwezi March ikihusisha gari lake na pikipiki ya kijana Juma Mwalimu ambapo aliumia mguu na kunusurika kifo.
‘’Kwanza nishukuru wananchi na Jeshi la Polisi Wilayani Kisarawe kwa kukimbila tukio hilo mapema baada ya kuwa limetokea mimi nilikuwa naenda kuzika Marehemu Mama yangu Kijijini kwetu Kauzeni ajali sikuitarajia nijambo ambalo Mungu mwenyewe alipanga nashukuru kuwa madhara makubwa hayakutokea nikiwa barabarani ghafla ilitokea pikipiki alibeba mshikaki (abiria wawili) tukaongana” amesema.
Hali hiyo imejitokeza katika tukio la kukabidi pikipiki nyumbani kwa kijana huyo lililofanyika katika kijiji cha Masanganya Wilayani Kisarawe , ambapo Naibu meya Kumbila moto ameeleza kuwa ameona huruma kwa kijana huyo ambaye alipata ajali ikihusisha gari lake na pikipiki ya kijana Juma Mwalimu ambapo aliumia mguu na kunusurika kifo.
‘’Kwanza nishukuru wananchi na Jeshi la Polisi Wilayani Kisarawe kwa kukimbila tukio hilo mapema baada ya kuwa limetokea mimi nilikuwa naenda kuzika Marehemu Mama yangu Kijijini kwetu Kauzeni ajali sikuitarajia nijambo ambalo Mungu mwenyewe alipanga nashukuru kuwa madhara makubwa hayakutokea nikiwa barabarani ghafla ilitokea pikipiki alibeba mshikaki (abiria wawili) tukaongana” amesema.
Aidha Kumbilamoto ametoa somo kwa wanakisarawe kwa kuwataka kuwa na subira pale inapotokea ajali na kuacha kujichukulia sheria mkononi kwa kuwapiga wale wanodhaniwa kusababisha ajali .
“Baada ya kutokea ajali watu walizunguka gari langu na wakitaka kunipiga na kuchuma moto gari langu lakini namshukuru mzee Makata aliwahi na kuwaeleza kuwa ananifahamu waache kuchukua sheria mkononi , lakini hawawatu hawakujua kuwa mimi roho yangu ikoje tukamchukua huyu kijana tukampeleka Hospitali ya Kisarawe kwa matibabu na nikawa nagharamia matibu na matumizi yake na nyumbani kwake ama akihitaji chochote kitu’’ amesema .
Amesema kilicho muuma na kumpa msukumo wa kumsaidia kijana huyo ni kuwa Juma alikuwa amaingia mkataba na mwenye hiyo pikipiki na alibakisha miezi mine ili iwe yake baada ya ajali mwenye pikipiki alikuja juu na kutaka atengenezewe pikipiki yake na akampe mtu mwingine aendelee na biashara, jambo amabalo ilibidi amlipe mwenye hiyo pikipiki shilingi lakinane (800,000) ili pikipiki hiyo nikaitengeneze iwe ya Juma .
“Hapando nikamkumbuka shaban Robert alivyo zungumza katika vitabu vyake kwamba matajiri kazi yao nikuwatumia masikini kama nguombuvu , kwahiyo juma alitumika tu na tajiri kama nguo ilimradi asipate kukomboka sasa yeye baada ya kumkabidhi hii Pikipiki sasa atakuwa anatuma badala ya kutumwa’’ amesema.
Kwa upande wake Juma Mwalimu, amemshukuru Kumbila moto kwa myo alionesha kwa kumsaidia na anamshukuru Mungu kwa hali aliyofikia anaendelea vizuri na kusema kuwa hajawahi kuona mtu mwenye moyo kama huo hakujali hatakama ni ninani alikuwa na makosa katika hiyo ajali alithamini utu kwanza na amekuwa masaada kwake tangu amepatwa na shida hiyo.
‘’Kwakweli kujichukulia sheria mkononi haifaifai nimeona kwa sababu yamesha nitokea inabidi kuwa mvumilivu hadi uone matokeo sasa mimi nashuru nshapata hiki chombo kitanisaidia lakini watu wange chukka sheri mkoni hatahiifaida nisingepata nimepata somo kubwa sana” amesema Mwalimu.
Kwaupnde wake shuhuda wa tukio hilo Hassan Habibu ,amesema ajali hiyo imetoa somo kwa watu wa kisarawe na kuwataka watu wengine kuiga mfano wa Kumbilamoto kwani ajali haipangwi na bina damu.
‘’Subira kweli inavuta kheri tumeyaona miminilikuwa katika tukio watu walitaka kumpiga na kuuwa Derva wa gari , mimi niliwaambia neno moja tu ,atakaye anza kupiga huyu Dereva na anaye taaka kumuuwa na amuuwe lakini mimi atakeye anzisha tu ndiyo huyohuyo ntamng’ang’ania hadi Jeshi la Polisi, badala mmsaidie ndugu yagu tumwahishe Hospitali mnataka kuongeza matatizo,na kadri watu walivyo kuwa watu wanaongezeka kilamtu alikuwa anaongea lake .’’amesema.
Kwa upand wake Mke na Mamamkwe wa kijana huyo wamemshukuru Kumbilamoto kwa msaada aliotoa kwani Juma ndiye walikuwa wanamtegemea kulisha familia yao na kupatakwake ajali kulirudisha nyuma mambo mengi katika familia yao.
‘’Niwatu wachache kwa dunia yaleo wenye moyo kama wa huyu Baba namshukuru sana amekuwa msaada tukiwa na shida anaturushia hela ya kula na matibabu ya mume wangu amnagharamia nachombo hiki leo katukabidhi Mungu amjaalie mimi nauza karangatu lakini huyo baba anatuma marakwa mara antutumi 20,000 na 30,000 hadi hamsini , amesema.
No comments:
Post a Comment