A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, April 28, 2018

Yanga kumkosa Ngoma mechi ya watani


Kuelekea mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga Jumapili ya April 29 2018 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, mkuu wa idara ya habari ya mawasiliano wa Club ya Dar es Salaam Young Africans Dismas Ten ameongea na waandishi wa habari na kueleza maandalizi ya timu.

Dismas Ten amethibitisha kuwa kikosi cha Yanga kimerejea leo kutokea mjini Morogoro ilipokuwa imeweka kambi lakini kwa upande wa mshambuliaji wao wa kimataifa wa Zimbabwe Donald Ngoma wanaomba mashabiki wamvumilie kwani bado anaendelea kuuguza majeraha yake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages