Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na balozi wa Poland nchini, Mhe.
Krzysztof Buzalski wakati alipowasili kwenye viwanja vya magahla ya
Wakala wa Hifadhi yaTaifa ya Chakula chino (NFRA) kuweka jiwe la msingi
la mradi wa ujenzi wa magahala na vihenge vya kisasa, eneo la Kizota
mjini Dodoma Aprili 21, 2018. Wapili kushoto ni Waziri wa Kilimo, Dkt.
Charles Tizeba , kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt, Mary Mwanjelwa
na kulia ni Mjumbe wa bodi ya kampuni ya Freerum ya Poland, Bw. Piotr
Wielesik.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na balozi wa Poland nchini, Mhe Krzysztof
Buzalski wakati alipoweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa maghala
na vihenge vya kisasa katika eneo la Kizota mjini Dodoma Aprili 21,
2018.
Baadhi
ya wageni waalikwa wakiwemo wabunge na Wakuu wa Mikoa wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aliopozungumza kabla ya kuweka jiwe
la msingi la mradi wa ujenzi wa magahala na vihenge vya kisasa kwenye
eneo la Kizota mjini Dodoma Aprili 21, 2018.
Spika
wa Bunge, Mhe.Job Ndugai akizungumza Katika sherehe ya uwekaji jiwe la
msingi la maghala na vihenge vya kisasa kwenye eneo la Kizota mjini
Dodoma, Aprili 21, 2018. Mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoweka jiwe la msingi la
mradi wa ujenzi wa magahala na vihenge vya kisasa katika eneo la Kizota
mjini Dodoma Aprili 21, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaongoza viongozi kuweka jiwe la msingi la
mradi wa ujenzi wa maghala na vihenge vya kisasa kwenye eneo la Kizota
mjini Dodoma Aprili 21, 2018. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista
Mhagama, Spika wa Bunge, Job Ndugai, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa
Dodoma, Godwin Mkanwa, Balozi wa Poland nchini, Mhe. Krzystof Buzalski
na kulia Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
viongozi walioshiriki kwenye sherehe ya kuweka jiwe la msingi la mradi
wa ujenzi wa maghala na vihenge vya kisasa kwenye eneo la Kizota mjini
Dodoma, Aprili 21, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na balozi wa Poland nchini, Mhe
Krzysztof Buzalski baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa
magahala na vihenge vya kisasa katika eneo la Kizota mjini Dodoma
Aprili 21, 2018. Watatu kulia ni Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba ,
kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt, Mary Mwanjelwa na wapili kulia
ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bilinith Mahenge.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment