A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, April 10, 2018

Watu 8 Wafariki dunia katika Ajali iliyohusisha basi na Noah Mbeya


WATU nane wamefariki dunia papo hapo na mmoja amejeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana na basi katika eneo la Igodima nje kidogo ya Jiji la Mbeya. Kaimu Kamanda wa Polisi Mbeya, Mussa Taibu amethibitisha. 

Ajali hiyo imetokea leo Jumatatu Aprili 9, 2018 mchana ikihusisha Noah yenye namba za usajili T 649 DEA na basi la Igembesabo katika Barabara ya Chunya Mbeya huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa hakijulikani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages