A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, April 20, 2018

Rais Magufuli asema hakuna upotevu wa Trilioni 1.5 kama inavyodaiwa


Rais John Magufuli amesema katika ripoti aliyopokea kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad haikuwa na upotevu wa fedha Tsh. Trilioni 1.5 kama inavyodaiwa.

Rais Magufuli amesema hayo leo wakati akiwaapisha majaji Ikulu Dar es Salaam na kueleza watu wanatumia uhuru wao vibaya na kupotosha kitu kilicholeta taharuki.

Rais Magufuli amesema mara baada ya kusikia kuna fedha zilizopotea alipiga simu kwa CAG kuhoji;.

“Mbona kwenye ripoti yako uliyoniso

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages