Sehemu ya paa la kiwanda hicho ikiendelea kufuka moshi
Waokoaji wakiwa kazini
Askari wakilinda usalama
Sehemu ya kiwanda hicho.
Kiwanda cha Magodoro cha Ocean Kiss kilichopo Tabata-Matumbi Jijini Dar leo asubuhi kilizua taharuki baada ya moto kuzuka sehemu ya kiwanda hicho na kuwafanya wafanyakazi na majirani wa eneo hilo kukumbwa na taharuki. Hata hivyo, moto huo uliweza kudhibitiwa na vikosi mbalimbali vya zimamoto na uokoaji.
HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS / GPL




No comments:
Post a Comment