Mshambuliaji wa Klabu ya Tenerife ya nchini Hispania Far i d Mu s sa a me s em a kuwa yeye bado ni mchezaji wa Azam FC licha ya kuonge zewa m u da wa k uc h eza kwa mkopo kwenye klabu yake hiyo ya Hispania.
Farid Mussa ameweka wazi kuwa mkataba wa awali um em al i zi ka m wa ka h uu na bado Klabu ya Azam haijamuuza hivyo bado anaendelea n a mk o po la ki ni anaamini malengo yake yatafanikiwa.
“ Mimi bado ninamkataba na Azam FC na nipo huku kwa m k op o a m bao ul i ku wa unaisha mwaka huu na bosi wa Tenerife aliniita na akan ia mb i a bad o t un ah it aj i mchango wako na wakasema wananiongeza mkataba n a ka ma n i ta kub al i w ao wataelewana na Azam FC, ” amesema.
Farid bado anamkataba na Azam FC mpaka mwaka 202 0 na an aam i ni ip o s i ku watamuuza na kuendelea na soka la kulipwa kama wac h ezaj i we ng in e Wakitanzania wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi.
Farid ameongeza kuwa kwa sasa ameshazoea soka la Hi s pa ni a na t ay ar i ameshaanza kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza ch a t im u h iy o am bay o inashiriki ligi daraja la kwanza nchini humo Segunda B.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Monday, April 2, 2018
Home
Unlabelled
Farid Mussa: Bado ninamkata b a n a Azam FC
Farid Mussa: Bado ninamkata b a n a Azam FC
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment