MWILI wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro umeagwa leo kwenye Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo baada ya kuswaliwa kisha kupelekwa nyumbani kwake Mbweni Luis utakapoagwa tena na baadaye kusafirishwa kwenda Kijijini Ihemi mkoani Iringa kwa mazishi yatakayofanyika kesho Jumapili.
Kandoro alieaga dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu. kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua
No comments:
Post a Comment