A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, February 3, 2018

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AIPA POLE FAMILIA YA ALIYEKUWA RUBANI WA NDEGE ZA SERIKALI MAREHEMU DOMINIC BOMANI

fe2Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa aliyekuwa rubani wa ndege za serikali, marehemu Dominic Bomani  nyumbani kwa marehemu, Kinyerezi jijini Dar es salaam Februari 3, 2018.Bomani alifariki dunia katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea Zanzibar Feb. 1 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

fe1

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa pole kwa familia ya  aliyekuwa rubani wa ndege za serikali, marehemu Dominic Bomani  nyumbani kwa marehemu, Kinyerezi jijini Dar es salaam Februari 3, 2018.Bomani alifariki dunia katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea Zanzibar Feb. 1 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

index

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mmoja wa wanafamilia wa msiba wa aliyekuwa rubani wa ndege za serikali marehemu Dominic Bomani  nyumbani kwa marehemu, Kinyerezi jijini Dar es salaam Februari 3, 2018.Marehemu Bomani alifariki dunia katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea Zanzibar Feb. 1,  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages