Askari wa ulinzi binafsi wa Suma Jkt Guard wakila kiapo cha uaminifu mbele ya Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu.
Mkurugenzi wa kampuni ya Ulinzi ya Suma Jkt Guard Limited, Meja Alfred Mwaijande akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kwa ajili ya kufunga mafunzo ya askari wa kundila sita wa Suma jkt
Kaimu Mkuu wa chuo cha Uongozi JKT Kimbiji .Meja Josephat Songita akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya askari wa Suma Jkt Guard kundi la Sita
Mkuu wa kitengo cha Operesheni na Mafunzo wa Suma Jkt Guard ,Luteni Albert Masawe akizunguma namna mafunzo hayo yalivyoendeshwa kwa mgeni rasmi
Askari wa Jeshi la Kujenga taifa akipiga ngoma wakati akiongoza gwaride la askari wa Suma Jkt Guard
Askari wa kundi la sita wanaomaliza mafunzo ya ulinzi binafsi kundi lasita la Suma Jkt Guard wakipita kwa mwendo w aukakamavu
Askari wa ulinzi binafsi wa Suma Jkt Guard wakionyesha umahiri wao wa kucheza mchezo wa Kareti mbele ya mgeni rasmi Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu.
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu akiwasili katika uwanja wa kufunga kozi
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Kupambana na Rushwa nchini(TAKUKURU),Brigedia Jenerali .John Mbungu akiwa katika picha ya pamoja na askari wa ulinzi binafsi wanaomaliza mafunzo yao
No comments:
Post a Comment