Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto), akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa mjini Kahama, katika semina iliyoandaliwa kabla ya uzinduzi rasmi wa Klabu ya Biashara ya NBC hiyo iliyoanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Hafla ya uzinduzi ilifanyika mjiini Kahama, Shinyanga jana.
Meneja wa Kanda wa NBC, Daudi Mfalla (kulia), akizungumza wakati akizungumza katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Klabu ya Biashara ya NBC iliyoanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Wafanyabiashara wadogo na wakati wa NBC, Evance Luhimbo
Baadhi ya
wateja wa NBC mjini Kahama waliohudhuria uzinduzi wa B-Club ya benki hiyo,
wakijipiga picha ‘selfie’ pamoja na bango lenye picha inayoonyesha kilele cha
Mlima Kilimanjaro ikiwa ni baadhi ya shamrashara zilizopamba uzinduzi huo.
Wafanyakazi
wa NBC tawi la Kahama wakipozi kwa katika hafla hiyo.
Wasanii wakionyesha umahiri wao kucheza ngoma ya kadete ya kabila la wasukuma katika hafla ya uzinduzi wa B-Club mjini Kahama, Shinyanga jana.
No comments:
Post a Comment