Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na waumini
wa Kanisa hilo la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Mapipa jijini Dar
es Salaam
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Maguful akimshukuru Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate
ya Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam Charles Salala mara baada ya mazungumzo kanisani hapo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Maguful alipokea sakramenti Takatifu wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la
Mtakatifu Petro jijini Dar es Salaam Ibada hiyo ambayo imeongozwa na Paroko wa Oysterbay Padri Asis Mendokta imehudhuriwa
pia na Akofu Mkuu wa Jimbo Kuu katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo na waumini wengine wengi.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama
Janeth Magufuli katika Ibada ya Pasaka katika Kanisa la Afrika Inland Church
Pastorate ya Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Paroko ya Oysterbay Dkt. Adelhelm Meru wakisali baada ya
kupokea Sakramenti Takatifu wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la
Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na
Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo na waumini wengi wengine Askofu Mkuu wa Jimbo
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam jana Jumapili Aprili 16, 2017
Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam jana Jumapili Aprili 16, 2017
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya
ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam jana Jumapili Aprili 16, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
na waumini wakimsikiliza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es
salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa
ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam jana Jumapili Aprili 16, 2017
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo nawaumini wengine.Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Pombe Magufuli









No comments:
Post a Comment