
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda akizungumza katika hafla ya kumtambua Kamanda mpya wa Kanda Maalumu ya Dar es salaam SACP_ Lazaro Mambosasa Katika Mazungumzo hayo wamejadili hali ya Usalama na namna ya kuendeleza yale ambayo yaliachwa na IGP Simon Sirro wakati akiwa Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.



No comments:
Post a Comment