A great place to access the latest news and information.

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, April 26, 2018

Mkwasa awatupia kijembe cha utani Simba


Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amewapiga kijembe 'UTANI' watani zake wa jadi Simba kuhusiana na kambi waliyoweka Morogoro.

Akizungumza na Radio EFM kupitia kipindi cha Michezo 'E Sports', Mkwasa amesema kuwa inawezekana Simba wameweka kambi Morogoro kutokana na kuyumba kiuchumi.

Mkwasa vilevile ameeleza kuwa yawezekana Simba wameshindwa kwenda Zanzibar kuweka kambi huko kutokana na gharama kuwa kubwa, hivyo nao wamemua kuwa Morogoro.

Kijembe amewapiga Simba zikiwa zimesalia siku kadhaa kabla ya mtangange dhidi yao kupigwa Uwanja wa 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages